Posts

Showing posts from March, 2017

KAMA ULIYAKOSA MAGOLI YA SAMATA DHIDI YA CLUB BRIGE ANGALIA HAPA

Haya hapa magoli ya Samata

CHELSEA YAICHAPA WEST HAM 2-1

Image
Timu ya Chelsea ama The Blues wameendelea kujiweka kileleni mara baada ya kuichapa West Ham kwa jumla mabao mawili kwa moja.  The blues hao walikua wa kwanza kupata goli lao la kwanza kupitia kwa

MAGAZETI YA LEO JUMMANE TAREHE 7 MARCH 2017

Image
Haya hapa magazeti ya leo jumanne ya tarehe 7 march 2017. Karibu tusome wote vichwa vya habari vya juu kabisa ya magazeti haya.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI YA TAREHE 5 MARCH 2017

Image
Haya hapa magazeti ya leo jumapili karibu tusome wote

LIVERPOOL YAISHUSHA ARSENAL

Image
Arsenal wameshindwa kubaki katika nafasi ya nne jana usiku baaada kukubali kichapo cha magoli matatu kwa moja kutoka kwa Liverpool. magoli ya Liverpool yalifungwa na Firmino dakika ya 9, Mane dakika ya

BARCELONA YAUA MTU TANO BILA

Image
Timu ya FC BARCA imeitandika Celta de Vigo kichapo cha magoli matano kwa sifuri wakiwa nyumbani. Magoli hayo mawili yalifungwa na mchezaji wao L.Messi akifunga magoli mawili mnamo dakika ya 24 na

AZAM YAICHAPA STAND UNITED 2-0

Image
Timu ya soka ya wana lamba lamba yani Azam imelipa kisasi kwa kuichapa timu ya Stand United chama la wana kwa jumla ya mabao mawili kwa sifuri magoli hayo yalifungwa na SURE BOY kwa shuti kali la mbali na goli la pili alifunga beki yakubu.

EIBER 1-4 REAL MADRID

Image
Real Madrid imepata ushindi mnono wa jumla ya goli nne kwa moja ugenini dhidi ya wenyeji wao Eiber. Magoli ya Madrid yalifungwa na Karim Benzema 14' na 25' James Rodriguez 30 na M. Asensio dakika ya 60 huku goli la kufutia machozi la wenyeji hao likifungwa na R.Pena 72' . Na kwa ushindi huo unawafanya Madrid kuongoza ligi ya La liga

MAN U YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI

Image
Manchester United imeshindwa kutamba kwenye uwanja wao wa nyumbani Old Traford 

LEICESTER CITY YANG'ARA NYUMBANI

Image
Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Uingereza maarufu kama EPL wameibuka na ushindi mnono wa jumla ya mabao 3-1 dhidi ya timu ya jiji la Hull. Hull city walikua wa kwanza kupata goli kupitia kwa mchezaji wao S.Clucas mnamo dakika ya 14 na baadae mabingwa hao watetezi wa EPL

SIMBA YAPATA SARE DHIDI YA MBEYA CITY

Image
Timu kinara katika ligi kuu ya Vodacom (CPL) Simba SC imepata sare ya goli 2-2 dhidi ya klabu ya Mbeya City. Timu ya Mbeya City ilikua ya kwanza kupata goli kupiti mshambuliaji wa zamani wa Yanga Mrisho Ngasa mnamo

JPM ANYANG'ANYA PASPOT YA MKANDARASI

Image
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemnyang'anya mkandarasi wa mradi wa maji mkoani Lindi alipokua ziarani. Raisi alichukua maamuzi hayo baada ya kuambiwa

MAGAZETI YA LEO TAREHE 4 MARCH 2017

Image
Kama kawaida ndugu zangu wasomaji wa blog hii karibuni tusome vichwa vya magazeti ya leo tarehe 4 march 2017

OMBI LA MBOWE KUGONGA UKUTA

Image
Mahakama Kuu ya Tanzania jana March 2, 2017, imetoa uamuzi wa pingamizi la Serikali dhidi ya maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Freeman Mbowe aliyeiomba

MAGAZETI YA LEO IJUMAA TAREHE 03 MARCH 2017

Image
Ndugu wasomi wa blog hii karibuni tena tuweze kusoma magazeti ya leo kwa pamoja

REAL MADRID WALAZIMISHWA SARE

Image
Timu ya Real Madrid imeshindwa kutamba jana kwenye uwanja wao wa nyumbani mara baada ya kulazimisha sare ya bao 3-3 dhidi ya Las Palmas. Real Madrid walikua wa

BARCELONA KUONGOZA LA LIGA

Image
Timu ya FC BARCELONA imekaa kileleni mwa LA LIGA jana mara baada ya kupata ushindi mnono wa goli sita kwa moja dhidi ya Gijon. Magoli ya Barcelona yalifungwa na L. Messi

MAGAZETI YA LEO TAR 2 MARCH 2017

Image
Kama ilivyo ada nawaletea kwenu magazeti ya leo tarehe 2 march 2017

YANGA YAITANDIKA RUVU SHOOTING 2

Image
 Klabu ya soka ya Yanga jana imeitandika klabu ya soka ya Ruvu shooting kwa jumla ya mabao mawili kwa sifuri. Magoli hayo yalifungwa na winga Simon Msuva kupitia penti mnamo dakika ya 31 mara

mhinda blog