LIVERPOOL YAISHUSHA ARSENAL
Arsenal wameshindwa kubaki katika nafasi ya nne jana usiku baaada kukubali kichapo cha magoli matatu kwa moja kutoka kwa Liverpool. magoli ya Liverpool yalifungwa na Firmino dakika ya 9, Mane dakika ya 40 na Wijnaldum dakika ya 90 huku goli la Arsenal likifungwa na Welbeck dakika 57. Kwa matokeo hayo Liverpool inashika nafasi ya tatu huku Arsenal kushuka mpaka nafasi ya tano.
Comments
Post a Comment