BARCELONA YAUA MTU TANO BILA
Timu ya FC BARCA imeitandika Celta de Vigo kichapo cha magoli matano kwa sifuri wakiwa nyumbani. Magoli hayo mawili yalifungwa na mchezaji wao L.Messi akifunga magoli mawili mnamo dakika ya 24 na
dakika 64 magoli mengine yalifungwa na Neymar dakika ya 40, Raktic dakika ya 57 pamoja nae beki Umtiti dakika ya 61.
Kwa matokeo hayo yanaifanya FC Barcelona kurudi kileleni mwa ligi hiyo ya LA LIGA kwa alama 60 wakifuatiwa na mahasimu wao Real Madrid wakiwa na alama 59 hata hivyo wakiwa na kiporo kimoja
Comments
Post a Comment