BARCELONA KUONGOZA LA LIGA

Timu ya FC BARCELONA imekaa kileleni mwa LA LIGA jana mara baada ya kupata ushindi mnono wa goli sita kwa moja dhidi ya Gijon. Magoli ya Barcelona yalifungwa na L. Messi
dakika ya 9, L. Suarez dakika ya 10, 27, P. Alcacer dakika 50, Neymar dakika 56 na I. Rakitic dakika 87 huku goli la kufutia machozi la Gijon likifungwa mnamo dakika ya 21 ya mchezo kupitia mchezaji wake C.C. Garcia. Kwa ushindi huo unawafanya  Barcelona kuongoza ligi wakiwa na pointi 57 huku mahasimu wao Real Madrid wakifuata na pointi zao 56 wakiwa na mchezo mmoja zaidi ya Barcelona

Comments

mhinda blog

Popular posts from this blog

VIKOSI VITAKAVYOCHEZA FC PORTO VS JUVENTUS HIVI HAPA