MAN U YASHINDWA KUTAMBA NYUMBANI
Manchester United imeshindwa kutamba kwenye uwanja wao wa nyumbani Old Traford baada ya kulazimishwa sare ya 1-1 na FC Bournemouth. Manchester United ilikua ya kwanza kupata goli dakika ya 23 kabla ya kurudishwa dakika ya 40 na J.King na kufanya Manchester United kuapata sare ya 1-1 nyumbani hivyo kuwafanya waendelee kubaki katika nafasi yao ya sita
Comments
Post a Comment