EIBER 1-4 REAL MADRID
Real Madrid imepata ushindi mnono wa jumla ya goli nne kwa moja ugenini dhidi ya wenyeji wao Eiber. Magoli ya Madrid yalifungwa na Karim Benzema 14' na 25' James Rodriguez 30 na M. Asensio dakika ya 60 huku goli la kufutia machozi la wenyeji hao likifungwa na R.Pena 72' . Na kwa ushindi huo unawafanya Madrid kuongoza ligi ya La liga
Comments
Post a Comment