YANGA YAITANDIKA RUVU SHOOTING 2
Klabu ya soka ya Yanga jana imeitandika klabu ya soka ya Ruvu shooting kwa jumla ya mabao mawili kwa sifuri. Magoli hayo yalifungwa na winga Simon Msuva kupitia penti mnamo dakika ya 31 mara
baada ya mchezaji wa ruvu shooting kuunawa. timu zote zilishambuliana mnamo dakika ya 45 mchezaji wa Yanga Obrey Chirwa akaipatia Yanga goli la pili lakini hata hivyo muamuzi alilikataa na kumpa kadi ya njano na mda mfupi baadae Chirwa anafanya faulu na kuoneshwa kadi ya pili ya njano na hatimae anatoka kwa nyekundu, kuanzia mda huo Yanga walicheza pungufu. Mnamo kipindi cha pili timu zote zilishambuliana kwa kustukizana . Lakini mnamo dakika 90+5 mshambuliaji wanga alietokea benchi aliiandikia Yanga goli la pili kupitia krosi safi iliyopigwa na winga machachari Simon msuva na kukifanya Yanga kuondoka na ushindi wa goli mbili bila.

Comments
Post a Comment