JPM ANYANG'ANYA PASPOT YA MKANDARASI
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemnyang'anya mkandarasi wa mradi wa maji mkoani Lindi alipokua ziarani. Raisi alichukua maamuzi hayo baada ya kuambiwa
kua mkandarasi huyo alishindwa kutekeleza mradi huo kwa mda husika. Hata hivyo mkandarasi huyo alijitetea kua hana pesa ya kutosha huku Raisi akisema kua kwa kawaida hua mkandarasi anafanya kazi kwanza ndio apewe hela, hata hivyo mradi huo ulikua ushalipiwa kiasi kikubwa cha pesa.
Mbali na hilo pia Raisi huyo wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ametoa kauli ya kua ifikapo tarehe 3 mwezi wa saba ni lazima mradi huo uwe umekamilika
Comments
Post a Comment