Timu ya Chelsea ama The Blues wameendelea kujiweka kileleni mara baada ya kuichapa West Ham kwa jumla mabao mawili kwa moja. The blues hao walikua wa kwanza kupata goli lao la kwanza kupitia kwa
Arsenal wameshindwa kubaki katika nafasi ya nne jana usiku baaada kukubali kichapo cha magoli matatu kwa moja kutoka kwa Liverpool. magoli ya Liverpool yalifungwa na Firmino dakika ya 9, Mane dakika ya
Timu ya FC BARCA imeitandika Celta de Vigo kichapo cha magoli matano kwa sifuri wakiwa nyumbani. Magoli hayo mawili yalifungwa na mchezaji wao L.Messi akifunga magoli mawili mnamo dakika ya 24 na
Timu ya soka ya wana lamba lamba yani Azam imelipa kisasi kwa kuichapa timu ya Stand United chama la wana kwa jumla ya mabao mawili kwa sifuri magoli hayo yalifungwa na SURE BOY kwa shuti kali la mbali na goli la pili alifunga beki yakubu.
Real Madrid imepata ushindi mnono wa jumla ya goli nne kwa moja ugenini dhidi ya wenyeji wao Eiber. Magoli ya Madrid yalifungwa na Karim Benzema 14' na 25' James Rodriguez 30 na M. Asensio dakika ya 60 huku goli la kufutia machozi la wenyeji hao likifungwa na R.Pena 72' . Na kwa ushindi huo unawafanya Madrid kuongoza ligi ya La liga
Mabingwa watetezi wa ligi kuu nchini Uingereza maarufu kama EPL wameibuka na ushindi mnono wa jumla ya mabao 3-1 dhidi ya timu ya jiji la Hull. Hull city walikua wa kwanza kupata goli kupitia kwa mchezaji wao S.Clucas mnamo dakika ya 14 na baadae mabingwa hao watetezi wa EPL
Timu kinara katika ligi kuu ya Vodacom (CPL) Simba SC imepata sare ya goli 2-2 dhidi ya klabu ya Mbeya City. Timu ya Mbeya City ilikua ya kwanza kupata goli kupiti mshambuliaji wa zamani wa Yanga Mrisho Ngasa mnamo
Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amemnyang'anya mkandarasi wa mradi wa maji mkoani Lindi alipokua ziarani. Raisi alichukua maamuzi hayo baada ya kuambiwa
Mahakama Kuu ya Tanzania jana March 2, 2017, imetoa uamuzi wa pingamizi la Serikali dhidi ya maombi ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo, CHADEMA, Freeman Mbowe aliyeiomba