Posts

Showing posts from February, 2017

MAGAZETI YA LEO TAR 28 february 2017

Image
Kama ilivyo ada haya hapa magazeti

REAL MADRID WARUDI KILELENI

Image
Timu ya Real Madrid imerudi kileleni usiku wa jana baada ya timu ya Barcelona kuongoza kwa mda. Timu hiyo imerudi kileleni

BARCELONA YAICHAPA ATLETICO 2-1

Image
Add caption Timu ya soka ya FC BARCELONA imeitandika timu ya soka ya ATLETICO MADRIR kwa jumla ya mabao mawili kwa moja (2-1)

MAN U BINGWA EFL

Image
Klabu ya Menchester United imetwaa Kombe la EFL mwaka 2017. Man U imetwaa

MBUNGE WA BABATI ANUSURIKA KIFO

Image
Mbunge wa jimbo la Babati mjini Paulina Gekul amenusurika kifo baada ya gari lake

MAGAZETI YA LEO TAR 27 FEBRURY 2017

Image
Habari za asubuhi ndugu wasomaji wa blog hii nawaletea kwenu vochwa vya magazeti kwa siku hii ya leo ya tar 27 febr 2017

JPM ATEUA VIGOGO WA BIMA NA NHC

Image
Raisi wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania ateua wengne NHC

CHELSEA MBELE KWA MBELE EPL

Image
Timu ya soka ya Chelsea imecheza mchezo wake wa 26 na Swansea ikiibuka na ushindi wa goli 3 zilizofungwa na Fabregas dakika ya 19, Pedro dakika ya 72 na Costa dakika ya 84. Huku goli la kufutia machozi la Swansea likifungwa na  Llorente mnamo dakika ya 45+2. Kwa ushindi huo walioupata The blues hao unawafanya kuweza kuongoza ligi wakiwa na point zao 63 pointi 11 zaidi .

MAGAZETI YA LEO TAR 26/02/2017

Image
Habari ya asubuhi wapendwa kama ilivyo ada nawaletea kwenu kurasa za juu kabisa za magazeti muweze kusoma kilichojiri ndani ya magazeti hayo

MAGAZETI YA LEO TAR 25/FEBR/2017

Image
Habari za asubuhi mpenzi msomaji wa blog hii nakuletea kwako kurasa za magazeti uweze kusoma vichwa vya habari vilivyomo humo

Mhinda blog: KASEJA MCHEZAJI BORA VPL

Image
Golikipa wa zamani wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars ambaye kwa

abdul basat

msikilize na umtazame abdul basat anavyosoma kuran vizuri kabsa

VIKOSI VITAKAVYOCHEZA FC PORTO VS JUVENTUS HIVI HAPA

Image
Kivumbi leo kinatimka tena kwenye uwanja wa Estádio do Dragão pale Porto mjini. Kocha Massimiliano Allegri wa Juventus imekipanga kikosi cha akina Buffon; Lichtsteiner, Rugani, Chiellini, Alex Sandro; Pjanić, Khedira; Cuadrado, Dybala, Mandžukić; Higuaín kuanza uwanjani wakati atayekuwa nje bila kucheza ni Bonucci kwa utovu wa nidhamu. Wakati huo huo, kocha Nuno Espírito Santo wa FC Porto anatarajia kuwaanzisha akina Casillas; Maxi Pereira, Marcano, Felipe, Alex Telles; Danilo, Herrera, Óliver Torres; Brahimi, André Silva, Soares na wala hakuna ambaye hatocheza.

Using all available RAM

see how to force your pc to use all RAM

mhinda blog