VIKOSI VITAKAVYOCHEZA FC PORTO VS JUVENTUS HIVI HAPA
Kivumbi leo kinatimka tena kwenye uwanja wa Estádio do Dragão pale
Porto mjini. Kocha Massimiliano Allegri wa Juventus imekipanga kikosi
cha akina Buffon; Lichtsteiner, Rugani, Chiellini, Alex Sandro; Pjanić,
Khedira; Cuadrado, Dybala, Mandžukić; Higuaín kuanza uwanjani wakati
atayekuwa nje bila kucheza ni Bonucci kwa utovu wa nidhamu.
Wakati huo huo, kocha Nuno Espírito Santo wa FC Porto anatarajia
kuwaanzisha akina Casillas; Maxi Pereira, Marcano, Felipe, Alex Telles;
Danilo, Herrera, Óliver Torres; Brahimi, André Silva, Soares na wala
hakuna ambaye hatocheza.
Comments
Post a Comment